Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Live:Mashabiki wa Simba wamkingia kifua Mo Dewji

Video Archive
Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Agosti 5, 2021 ambapo Mashabiki wa Simba Sport Club wamekutana na waandishi wa habari kuzungumza yao ya moyoni kwa yale yanaendelea mitandaoni kuhusu Mo Dewji.

Ni Agosti 5, 2021 ambapo Mashabiki wa Simba Sport Club wamekutana na waandishi wa habari kuzungumza yao ya moyoni kwa yale yanaendelea mitandaoni kuhusu Mo Dewji. “Sisi tuko hapa kwaajili ya ku support Simba SC na tuko hapa kwaajili ya kum support Mo Dewji na kwa miaka hii minne tumeona Simba ikiwa inafanya vizuri tumeona Simba ikitwaa makombe kwakweli sisi tuko nyuma ya Mo Dewji na sisi Mashabiki tunataka kumtia Moyo Mashabiki sisi ndio wenye timu na ndio tuko nyuma yake tunamsupport’-Shabiki wa Simba‘Na timu yetu imeweza kufanya vizuri kwasababu ya uwekezaji wa Mo Dewji na sisi hatutaki kurudi nyuma kule tulikotoka kwani tuliteseka sana na tunachotaka ni mafanikio katika timu yetu- Shabiki wa Simba

Chanzo: millardayo.com