Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

List ya wachezaji 7 wa Yanga watakaoikosa game dhidi Azam FC

2033 Screen Shot 2018 01 26 At 6.16.02 PM 660x400.png

Sun, 28 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Siku moja baada ya uongozi wa Azam FC kutangaza kutokuwa na imani na refa Israel Nkongo atakaowachezesha game yao dhidi ya Yanga, leo uongozi wa Yanga kupitia kwa afisa habari wao Dismas Ten wametanga wachezaji wao watakaokosekana katika mchezo wa kesho.

Yanga wametangaza kuwa katika mchezo wa kesho January 27 2018, watawakosa jumla ya wachezaji wao saba ambao ni pamoja ni Yohana Mkomola, Thaban Kamusoko, Amissi Tambwe, Abdallah Shaibu, Donald Ngoma, Pato Ngonyani ambao ni wagonjwa na Pius Buswita aliyekuwa na kadi tatu za njano.



Taarifa hizo za Yanga kuwakosa wachezaji wake saba katika mchezo wake kesho ambao ni muhimu, kuna ikiwa ni wiki ya pili sasa wanamkosa kocha wao mkuu raia wa Zambia George Lwandamina ambaye alikosekana katika benchi kwa vibali vyake vya kufanyia kazi kuisha.

Alichokiandika Jerson Tegete baada ya Nyosso kumpiga shabiki

Chanzo: millardayo.com