Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamar Jackson apanda viwango NFL

Skysports Lamar Jackson Baltimore Ravens 6101614 Lamar Jackson

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa wall Street Journal Lamar Jackson ameongeza mkataba wa miaka mitano na klabu ya Baltimore Ravens wenye thamani ya dola milioni 260, na uhakika wa dola milioni 185, na kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika NFL akiwa na wastani wa mshahara wa $52 milioni kwa mwaka.

Suala hilo Linakuja baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo na ombi la awali la biashara.

Alijadili mkataba wake mwenyewe psipo kuwa na Mwakilishi yeyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live