Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: TFF yaingia Mkataba mnono na Benki ya NBC, kuidhamini Ligi Kuu

Video Archive
Wed, 6 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, linaingia mkataba wa udhamini na Benki ya NBC wa kuidhamini Ligi kuu Tanzania Bara.

Mkutano huu unafanyika leo Oktoba 5, Jijini Dar es Salaam, na katika raundi mbili za awali zilizochezwa, Ligi kuu haikuwa na mdhamini.

Ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/2022 ilifungua pazia lake Septemba 27.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live