Wed, 6 Jul 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Suma Mwaitenda ni miongoni mwa majina mawili yanayowania nafasi ya Makamu wa Rais ndani ya Klabu ya Yanga.
Suma Mwaitenda ni miongoni mwa majina mawili yanayowania nafasi ya Makamu wa Rais ndani ya Klabu ya Yanga. Kwa sasa ni mjumbe wa Kamati ya Utendankji ya Yanga na leo ananadi sera zake kuelekea uchaguzi Mkuu Julai 9.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live