Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE:Ahmed Ally azungumza muda huu, agusia kuhusu kikosi, wazindua jezi Mpya (+Video)

Video Archive
Mon, 3 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tangu atangazwe kwa mara ya kwanza, Msemaji wa Simba anazungumza Rasmi muda huu ambapo amegusia uwepo wao Zanzibar ni kuwa kuna watu wamewafuata.

Azungumzia suala la Uwanja bila kusahau suala la uzinduzi wa Jezi Mpya kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi.

Tazama video umsikie akieleza masuala mbali mbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live