Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LEAKED: Imenaswa video ya ngono ya staa wa Tottenham Dele Alli

2686 Skysports Alli Spurs Dele 3897432 660x400

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa soka wa kimataifa wa England anayecheza soka katika club ya Tottenham Hotspurs ya England Dele Alli jina lake leo February 5 2018 limerudi kwenye headlines baada ya kuripotiwa kuvuja kwa picha zake za ngono.

Video ya Dele Alli akifanya mapenzi na msichana ambaye hajajulikana imevuja siku moja baada ya game dhidi ya Liverpool, ambapo inaripotiwa kuwa baada ya game kuna watu wali hack kupitia mtandao iphone yake na kuzichukua video hizo zinazodaiwa kuwa zilikuwa katika simu yake na kuisambaza.

Bado Dele Alli hajazungumza chochote kuhusiana na video hiyo inayosambaa mitandaoni Tazama hapa kuiona Video 18+

VIDEO: John Bocco na Mzamiru Yassin walivyoifungia Simba leo vs Ruvu Shooting

Chanzo: millardayo.com