Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kyle Edmund apokea kipigo mbele ya Fabio Fognini French Open

8589 Kyle Edmund French Open Third Round 4326301 TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchezaji tennis raia wa Uingereza, Kyle Edmund amejikuta akipokea kipigo kwenye mashindano ya wazi ya Ufaransa (French Open) mbele ya Fabio Fognini dimba la Roland Garros.

 Mchezaji raia wa Uingereza, Kyle Edmund

Muingereza huyo, Edmund hakutegemea kupata matokea hayo mbele ya Muitalia kwenye mchezo huo wa French Open.

Mchezaji, Fabio Fognini

Fognini amefanikiwa kusonga mbele baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya seti  6-3 4-6 3-6 6-4 6-4.

Loading...
Chanzo: bongo5.com