Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha mpya Yanga ajifunga mwaka mmoja na nusu

99ca9e4c 9fc5 45e6 80ad 2e9e0df76058 Kocha mpya Yanga ajifunga mwaka mmoja na nusu

Tue, 20 Apr 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Klabu ya Yanga leo imemtangaza Mohamed Nasreddin Al-Nabi kuwa kocha wao mpya na kuingianae kandarasi ya mwaka mmoja na nusu.

Klabu ya Yanga leo imemtangaza Mohamed Nasreddin Al-Nabi kuwa kocha wao mpya na kuingianae kandarasi ya mwaka mmoja na nusu. Tukio hilo limefanyika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mtaa wa Jangwani na kuongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa klabu hiyo Haji Mfikirwa.

Chanzo: mtanzania.co.tz