Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba: Tufanya Maajabu - Video

Video Archive
Sat, 22 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kocha Simba: Tufanya Maajabu – Video May 22, 2021 by Global Publishers

KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa leo Jumamosi, kocha Mkuu wa kikosi cha klabu ya Simba, Didier Gomes amefunguka kuwa amelazimika kutazama tena mara mbili rekodi ya mchezo uliopita ambayo ni sawa na dakika 180, ili kujua nini wanatakiwa kufanya ili kupindua matokeo yao ya kwanza.

Chanzo: globalpublishers.co.tz