Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitu Msuva kaandika baada ya kusikia Mahadhi kapiga magoti kuomba msamaha

1054 Sequence 01.Still0161 TZW

Thu, 4 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Siku moja baada ya Juma Mahadhi kuomba msamaha kwa viongozi wa Yanga na mashabiki ambao wamekuwa wakilalamika kuwa ameshuka kiwango kwa uzembe.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambaye anacheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva ametumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe huu baada ya kuona Juma Mahadhi kaomba msamaha kwa kupiga magoti.

“#Neno Msamaha , Nisamehe sio Ujinga muhimu umejua wapi umeteleza Naimani Unakipaji kikubwa sana Endelea kuamini kwamba unaweza No time to waste Brother Hongera kwa kutambua ilo naimani wewe ni Champion Endeleza mapambano Mdogo wangu usonge mbele uje ufike Nilipo na Zaidi Nafasi bado Unayo @jumamahadhi21 Twende tuisogeze Tanzania Yetu

Chanzo: millardayo.com