Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipa wa Yanga Shikalo Atua KMC -Video

Shikalo?fit=1280%2C720&ssl=1 Kipa wa Yanga Shikalo Atua KMC -Video

Sun, 5 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

FAROUK Shikalo aliyekuwa kipa namba mbili wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Septemba 4 ametambulishwa kuwa mali ya KMC.

Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Yanga mkataba wake wa miaka miwili ulimeguka na mabosi wa timu hiyo waliamua kumuacha aende.

Hakuwa katika nafasi ya kudumu msimu uliopita kwa kuwa katika mechi 34 alikaa langoni kwenye mechi 10 za Ligi Kuu Bara.

Aliweza kutwaa taji la Mapinduzi katika mchezo wa fainali uliochezwa Visiwani Zanzibar mbele ya Simba.

Anakwenda kuungana na kipa namba moja Tanzania, Juma Kaseja ambaye ni nahodha wa kikosi cha KMC ambacho kimeweka kambi Morogoro.

Chanzo: globalpublishers.co.tz