Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha Yanga chatua Dar

Yangaaaa.jpeg Kikosi cha Yanga chatua Dar

Mon, 17 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

Yanga ilikuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara waliocheza Mei 15, dhidi ya Namungo FC kwenye uwanja wa Mkapa.

Yanga ilikuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara waliocheza Mei 15, dhidi ya Namungo FC kwenye uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 kukamilika kibao kilisomeka Namungo 0-0 Yanga na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.

Chanzo: ippmedia.com