Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi Cha AS Vita Kilivyotua Dar Kuivaa Simba - Video

Video Archive
Fri, 2 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kikosi Cha AS Vita Kilivyotua Dar Kuivaa Simba J’mosi -Video April 2, 2021 by Global Publishers



KIKOSI cha timu ya AS Vita Aprili 1, 2021kimetua nchini na msafara wa watu 39 unaojumuisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi Timu hiyo.

Wametua Dar es Salaam tayari kwa maandalizi ya mchezo wa tano wa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa keshokutwa Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

“Matarajio yetu katika mchezo huo ni ushindi, tutafanya kila kitu kuhakikisha tunapata ushindi, mchezo huu kwetu ni zaidi ya fainali kwani tukishinda tunapata uhakika wa kusonga mbele na tukifungwa tutakuwa tumeshindwa kusonga mbele.”

Chanzo: globalpublishers.co.tz