Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi Bora Cha Ligi ya Wanaume na Wanawake hiki hapa

Shaffihdauda 247701219 295943862359497 7192606780302118863 N Kikosi Bora Cha Ligi ya Wanaume na Wanawake hiki hapa

Fri, 22 Oct 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanaume

1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Joash Onyango 5. Dickson Job 6. Mukoko Tonombe 7. Clatous Chama 8. Feisal Salum 9 . John Bocco

10. Prince Dube 11. Luis Miquissone.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanawake;

1. Janeth Shija 2. Julieth Singano 3. Happy Hezron 4. Vaileth Nicholas 5. Fatuma Issa 6. Amina Bilali 7. Stumai Abdallah 8. Opa Clement 9. Aisha Masaka 10. Mawete Mussolo

Chanzo: globalpublishers.co.tz