Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana wa kitanzania ajenga uwanja mkubwa wa mpira,Rais wa TFF ashangaa baada yakufika

Uwanja Leo 660x400 Kijana wa kitanzania ajenga uwanja mkubwa wa mpira,Rais wa TFF ashangaa baada yakufika

Fri, 28 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametembea kiwanja cha mpira kilichojengwa wilayani Karatu mkoani Arusha ,nakupongeza uwekezaji uliofanyika ikiwemo matumizi ya nyasi za kawaida zakunyeshewa maji  nakusema watashirikiana naye katika kuinua vipaji ikiwa ni pamoja nakupeleka timu za vijana

Kwa upande wa mmiliki wa uwanja huo Nickson Marik ameipongeza serikali kwa jinsi inavyoshirikiana naye pamoja na uongozi wa TFF uliotembelea eneo hilo

“Tunashukuru kwa uongozi wa TFF,tutoe pongezi kwa serikali imekuwa ikitusupport haya yote ya wamu ya tano tusingeyafikia  kama sio serikali”-Nickson

KIJANA ALIYEPATA DIVISION 1 KISIMIRI HADI KUWA MENEJA WA TRA “TULIKUWA TUNAKODI MWALIMU”

Chanzo: millardayo.com