Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karia: Nilimfananisha Tundu Lisu na Wambura

39780 Pic+lissu Karia: Nilimfananisha Tundu Lisu na Wambura

Mon, 4 Feb 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Arusha.Rais wa TFF, Wallace Karia amesema alimfananisha Mbunge Tundu Lisu na Richard Wambura kutokana na mambo wanayoyafanya. Wambura akisoma hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa TFF leo Jumamosi jijini Arusha alisema watu wanaojifanya kina Tundu Lisu kwenye mpira hawatapewa nafasi. "Nilisema hivyo nikimfananisha Wambura na Tundu Lisu kutokana na namna watu hao wanavyozungumza kila siku. Kama kuna baadhi ya watu nimewakwaza katika hilo basi wanisamehe," alisema Karia.

Chanzo: mwananchi.co.tz