Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kabla ya Kariakoo Derby, Dismas Ten amuandikia ujumbe mzito Donald Ngoma

7192 Ten.png TZW

Sun, 29 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Ikiwa imesalia siku moja pekee kabla ya mchezo wa watani wa jadi kupigwa hapo kesho kwenye dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam, Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten amemuandika ujumbe mfupi mshambuliaji wa timu hiyo, Mzimbabwe, Donald Ngoma ambaye amekosekana Uwanjani kwa muda mrefu.



Ten ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram ukielezea hali halisi anayopitia mchezaji wao kwa hivi sasa.

”Ndiyo maana yakaitwa  maisha kuna wakati ni lazima upitie changamoto ili kuyashinda,” ameandika Ten huku akimalizia kwa muombea kwa Mungu, Donald Ngoma.



Loading...
Chanzo: bongo5.com