Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KOEMAN ATAKA KUMREJESHA TENA COUTINHO BARCELONA

Image 373.png?fit=390%2C304 KOEMAN ATAKA KUMREJESHA TENA COUTINHO BARCELONA

Mon, 24 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Kocha mpya wa FC Barcelona Ronald Koeman aliesaini dili la miaka miwili ambae alichukuwa mikoba ya Quique Setien aliyetimuliwa hivi karibuni klabuni hapo.

Koeman pia amempendekeza nyota wa Brazil Philippe Coutinho kuwa sehemu ya mpango wake – kiungo huyo aliye na umri wa miaka 28 amekuwa Bayern Munich kwa mkopo msimu huu.

Barcelona baada ya kudhalilishwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa kichapo cha mabao 8-2 dhidi ya Bayern Munich, sasa ipo katika kukiimarisha kikosi pamoja uongozi

Chanzo: zanzibar24.co.tz