Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jurgen Klopp aahidi kutoka na ushindi Etihad (Picha)

5792 4AD3D9C000000578 5578989 Image A 115 1522875520868 TZW

Thu, 5 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Liverpool hapo jana usiku ilifanikiwa kuchomoza na ushindi mujarabu wa jumla ya mabao 3 – 0 dhidi ya timu ya Manchester City  mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya uliyopigwa kwenye dimba la Anfield.



Liverpool imetinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kabisa kwa mara ya kwanza tangu ilivyofanya hivyo mwaka 2008 hali iliyofanya mashabiki kufurika kwa wingi na kushuhudia mpambano huo katika dimba la Anfield.



Najiskia faraja kwa kile tulichokifanya uwanjani haswa kipindi cha kwanza na tulijaribu kutumia nafasi zote tulizopata. Kipindi cha pili tulijaribu kucheza na kujilinda na hata kupoteza baadhi ya nafasi lakini kupata matokeo ni kitu kizuri zaidi.

City siyo timu mbaya ni nzuri ila ilikosa nafasi na hivyo ikapoteza na jua mchezo ujao tunakwenda Manchester City na hivyo tutakuwa nakazi ya kuhakikisha tunapata chochote ili kusonga mbele.

Pep Guardiola had said beforehand that Manchester City would not alter their approach because of the opposition, but even the defensive-looking decision to start Ilkay Gundogan ahead of Raheem Sterling did not help as Liverpool ran riot in the first half.

Mohamed Salah opened the scoring after 12 minutes before Alex Oxlade-Chamberlain made it 2-0 shortly afterwards with a superb strike.

City looked in disarray defensively and they fell further behind after half an hour as Sadio Mane headed home.

 

Liverpool: Karius (6), Alexander-Arnold (8), Lovren (7), Van Dijk (7), Robertson (8), Henderson (7), Milner (8), Oxlade-Chamberlain (8), Salah (8), Mane (7), Firmino (7)

Wachezaji wa hakiba: Wijnaldum (6), Solanke (6), Moreno (5)

Man City: Ederson (5), Walker (5), Kompany (5), Otamendi (4), Laporte (4), Fernandinho (5), Silva (5), De Bruyne (5), Gundogan (4), Sane (5), Jesus (4)

Subs: Sterling (5)

Man of the match: Trent Alexander-Arnold

 



 



Chanzo: bongo5.com