Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jezi za Nigeria zamalizika sokoni kwa muda mfupi Uingereza

8554 4CCED8ED00000578 0 Image A 43 1527847532914 TZW

Sun, 3 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Jezi mpya za nyumbani za Nigeria ambazo zitatumika kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, zimemalizika ndani ya dakika chache tangu kuingizwa sokoni Ijumaa hii.



Foleni kubwa ya mashabiki imeonekana mapema asubuhi katika duka la Nike lililopo mjini London, mtaa wa Oxford, wakisubiria jezi hizo.

Kwa mujibu a shirikisho la soka la Nigeria, limesema kuwa walipokea pre order ya jezi zaidi ya milioni tatu.

Jezi ya juu (shirt) ya Nigeria inauzwa na kampuni ya Nike kwa paundi milioni 65.

Loading...
Chanzo: bongo5.com