Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jezi mpya kuipa Simba mamilioni

10637 Pic+jezi+simba TanzaniaWeb

Tue, 7 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Simba imepanga kuvuna Sh300 milioni msimu ujao kwenye mauzo ya jezi mpya zilizozinduliwa jana. Leo zitaanza kuuzwa Dar es Salaam Sh 25,000. Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ alisema wanatarajia kukusanya fedha hiyo tofauti na awali ambapo waliingiza Sh200 milioni za mauzo ya jezi. Mbali na jezi, Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya A1 Production Limited watengenezaji wa MO Energy ambao Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Mwanasara Sudi alisema una thamani ya Sh250 milioni.

Chanzo: mwananchi.co.tz