Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT Tanzania yapania tatu za Yanga kesho

Jktt Ed.jpeg JKT Tanzania yapania tatu za Yanga kesho

Tue, 18 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

“Japokuwa tunakutana na timu ambayo inashikilia nafasi ya juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu, kocha amesema haihofii kwa sababu tumejipanga vizuri kuhakikisha hatupotezi mchezo huo,” alisema Jamila.

“Japokuwa tunakutana na timu ambayo inashikilia nafasi ya juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu, kocha amesema haihofii kwa sababu tumejipanga vizuri kuhakikisha hatupotezi mchezo huo,” alisema Jamila. Alisema mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na maandalizi yaliyofanywa na kila timu huku akiwaomba mashabiki wao wajitokeze kwa wingi uwanjani ili kuwapa hamasa wachezaji waweze kutimiza mipango yao.

Chanzo: ippmedia.com