Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JK ATOA NENO KWA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU

Image 429.png?fit=533%2C338 JK ATOA NENO KWA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU

Mon, 31 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu hapa nchini kuwekeza kwa timu za watoto na vijana ili kuongeza idadi ya wachezaji wazawa watakaotumikia katika timu ya Taifa.

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu hapa nchini kuwekeza kwa timu za watoto na vijana ili kuongeza idadi ya wachezaji wazawa watakaotumikia katika timu ya Taifa. Kauli hiyo ameitoa jana katika tamasha la kuhitimisha kilele cha Wiki ya Wananchi kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam.

Chanzo: zanzibar24.co.tz