Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibrahimovic aanika tattoo yake mpya kwa mashabiki zake

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic ameongeza tattoo nyingine nyuma ya mwili wake ambayo sasa inaziba mgongo mzima huku akiwaonyesha mashabiki zake hapo jana.



Mchezaji huyo wazamani wa timu ya taifa ya Sweden ameonyesha tattoo hiyo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter siku ya Jumapili huku akiandika ‘Finest Art’.



Ibrahimovic anajumla ya tattoo tofauti tofauti 15 katika mwili wake ambapo kwa sasa ameamua kuonyesha hiyo iliyokamilika. Zlatan Ibrahimovic amesema kuwa kila tattoo iliyopo katika mwili wake inamaaba kwake.

Chanzo: bongo5.com