Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio staa wa kimataifa anayeachwa Simba SC

498 Departure20board 1 660x400 TZW

Fri, 22 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Club ya wekundu wa Msimbazi Simba kuelekea kufungwa kwa dirisha dogo la usajili, kupitia mwenyekiti wake wa kamati ya usajili Zacharia Hans Pope ametangaza kuwa Simba katika kipindi hiki cha usajili inamuhitaji mchezaji mmoja pekee.

Simba kwa sasa inamuhitaji nahodha wa Lipuli FC Asante Kwasi ambaye kwa wapo katika mvutano na club ya Lipuli FC, hata hivyo kama bado unajiuliza ni mchezaji gani Simba itamuacha wametangaza kuwa watamuacha Method Mwanjale pekee.

Pamoja na Method Mwanjale raia wa Zimbabwe kuwa na msimu mzuri na Simba kabla hivi karibuni hajaanza kuwekwa benchi, Simba walifikia umuzi wa kumpa unahodha mkuu kutokana na uwezo wake, kama ufahamu Mwanjale ni raia wa Zimbabwe na amewahi kucheza timu mbalimbali kama Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini.

SOURCE: Shaffihdauda.co.tz

Mstaafu Kikwete na Zitto Kabwe baada ya Zanzibar kuingia fainali

Chanzo: millardayo.com