Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hukumu sakata la TFF kutolewa Saa 6 mchana (+video)

Video Archive
Sat, 3 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Upande wa madai umeiomba Mahakama Kuu ya Dar es Salaam kusitishwa kwa shughuli zote zinazohusiana na Uchaguzi wa TFF mpaka pale kesi ya msingi namba 305 ya Mwaka 2021 itakaposikilizwa.

Upande wa madai umeiomba Mahakama Kuu ya Dar es Salaam kusitishwa kwa shughuli zote zinazohusiana na Uchaguzi wa TFF mpaka pale kesi ya msingi namba 305 ya Mwaka 2021 itakaposikilizwa. Ombi hilo limewasilishwa Mawakili wa mdai ambaye ni Ally Salehe mbele ya Jaji Edwin Kakolaki.

Chanzo: millardayo.com