Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamilton arejea Mercedes

Lewis Hamilton 1024x683 Lewis Hamilton akiwa na mavazi yenye nembo ya timu yake ya Mercedes

Thu, 10 Feb 2022 Chanzo: eatv.tv

Lewis Hamilton amerejea kwenye timu yake  ya  Mercedes  wiki hii kujiandaa na msimu mpya wa langalanga ambapo hapo awali majaaliwa ya ushiriki wake ulikuwa ukitiliwa shaka kutokana changamoto zilizojitokeza kwenye mashindano ya kumpata bingwa kwa mwaka 2021(Abu Dhabi Grand Prix 2021).

Lewis Hamilton amerejea kwenye timu yake  ya  Mercedes  wiki hii kujiandaa na msimu mpya wa langalanga ambapo hapo awali majaaliwa ya ushiriki wake ulikuwa ukitiliwa shaka kutokana changamoto zilizojitokeza kwenye mashindano ya kumpata bingwa kwa mwaka 2021(Abu Dhabi Grand Prix 2021). Hamilton 37 ambaye ametwaa taji la langalanga mara saba, siku ya Jumatatu na Jumanne  alimaliza majukumu yake na kujiandaa na mbio za msimu huu huku baadhi ya vipande vya video akiviweka kwenye mtandao yake ya kijamii.

Chanzo: eatv.tv