Mon, 12 Mar 2018
Chanzo: bongo5.com
Baada ya klabu ya Simba jana Jumatano Machi 07, 2018 kutoka sare ya goli 2-2 na klabu ya Al-Masry kutoka nchini Misri, Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara amewashukuru mashabiki wote waliojitokeza kushuhudia mchezo huo.
Manara amesema kuwa kitendo hicho ni cha mashabiki ni cha kiungwana na kizalendo pia kinaleta heshima kwa taifa letu.
“Kando ya Mwenyezimungu na wachezaji,hakuna anayestahili Shukran kama mashabiki mliokuja leo Taifa,mmetimiza wajibu wenu. Heshima ya nchi imelindwa
Chanzo: bongo5.com