Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gumzo Manara Kuondoka Simba "Asanteni, Imetosha"

Simbasctanzania 209302161 340387797486673 8217649454269563742 N?fit=1080%2C720&ssl=1 Gumzo Manara Kuondoka Simba "Asanteni, Imetosha"

Thu, 22 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Gumzo Manara Kuondoka Simba “Asanteni, Imetosha” July 21, 2021 by Global Publishers



SINTOFAHAMU imetanda baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa msemaji wa Timu ya Smba, Haji Manara kudaiwa kujiuzulu. Hayo yamejili baada ya Manara kuposti kwenye ukurasa wake wa Instagram maneno haya ambayo yametafsiriwa na wengi kuwa amebwaga manyanga.

“Hivi vitimbi mnavyonifanyia kila siku kisa Simba vishanichosha, mwisho wa siku mtanitoa roho yangu kabla ya muda wangu… Imetosha kwa sasa!! Ubaya wote ni Haji lakini mafanikio ni yenu nyie Wakubwa… Kila siku ni Haji Haji Haji…

“Mkitoka kunisingizia hili mtatengeneza cinema nyingine kwangu,,tunashindwa kujua kila Mja Mungu kampa fungu lake,,,,inakuwaje Rizki ya umaarufu wa mwenzio iwahangaishe kiasi hcho?

“Likinitokea baya pakuanzia mnapo. Asanteni ndugu zangu na Mlipaji ni Mungu na ukweli utajulikana. IMETOSHA,” amendika na kuibua gumzo mtandaoni juu ya kile kilichomsibu.

@manyota_rich

Share this:TweetWhatsApp Related

Chanzo: globalpublishers.co.tz