Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gareth Bale awatega Real Madrid, adai ametimiza ndoto yake hana cha kupoteza (+video)

Video Archive
Mon, 28 May 2018 Chanzo: bongo5.com

/>

Gareth Bale

Akiongea na waandishi wa habari jana Mei 26, 2018 mapema baada ya mchezo huo kumalizika, Bale amesema kuwa hapendi kukaa benchi na atakaa na wakala wake kuongea kabla ya michuano ya Kombe la Dunia.

Kwa upande mwingine, Bale amesema kuwa goli lake la mkasi la jana usiku dhidi ya Liverpool ndio goli lake bora zaidi kuwahi kufunga na amedai kuwa amelifanyia mazoezi kwa wiki tatu akiwa na Marcelo hivyo ametimiza ndoto yake ya muda mrefu kufanya miujiza kwenye mchezo mkubwa kama wa jana.

Msikilize Bale hapa chini akiongea na waandishi wa habari na kukadhiwa zawadi yake ya Man Of The Match.



Loading...
Chanzo: bongo5.com