Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Firmino aongeza mkataba mpya Liverpool, mshahara wake ni 410m

7232 31060810 1815583112082193 5477038133759442944 N TZW

Tue, 1 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchezaji wa Liverpool Roberto Firmino ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu mingine zaidi.



Firmino ameasaini mkataba huo ambao utamfanya aweze kulipwa kiasi cha paundi 180,000 kwa wiki ambapo ni zaidi ya shilingi milioni 410 za Kitanzania.

Mkataba huo mpya unatarajiwa kufikia tamati mwaka 2023.

Loading...
Chanzo: bongo5.com