Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Filamu ya Creed 2 kurudisha heshima ya Rambo

4274 Leoo TZW

Fri, 9 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Usahili wa filamu ya Creed 2 unaendelea kwa sasa huko Hollywood huku jina la Sylvester Stallon maarufu kama Rambo likiwa miongoni mwao.



Katika filamu hiyo ijayo inatarajiwa kuwa  bondia Adonis Creed ‘Michael B. Jordan’ atakuwa akinolewa na Sylvester Stallon ili kupigana na mtoto wa Ivan Drago kutoka Urusi aliyemuuwa baba yake Creed ‘Apollo Creed’ kwenye filamu ya Rocky IV.

Filamu ya Creed 2 inarekodiwa mjini “Philadelphia” na tayari Dolph Lundgren amekubali kuigiza kama Ivan Drago baada ya kufurahishwa na muendelezo wa stori hii.

Hata hiyo bado tarehe ya kutoka Creed 2 haijawa  wazi m ila Dolph Lundgren ataonekana katika  filamu kubwa kama Black Water and Aquaman, December 21 2018.

 

Chanzo: bongo5.com