Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FC Barcelona wafanyiwa unyama

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Barcelona imelazimishwa sare ikiwa nyumbani kwake Camp Nou dhidi ya klabu ya Getafe kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka nchini Hispania (La Liga).



Kwenye mchezo huo ambao Barcelona walionekana kuutawala kwa kiasi kikubwa lakini sio Messi wala Suarez waliofanikiwa kupata goli.

Kwa matokeo hayo Barcelona wanabaki kileleni kwa alama 59 wakifuatiwa na Atletico Madrid wenye alama 52.

Chanzo: bongo5.com