Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dilunga aingia 'first 11' ya Mbelgiji Simba

9566 Pic+yangaz TanzaniaWeb

Thu, 2 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Kartepe. Kiungo mpya wa Simba, Hassan Dilunga ni kama tayari ameingia kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Mbelgiji Patrick Ausemms.

Hii ni kutokana na namna anavyowatumia katika uchezaji.

Dilunga ni mchezaji mpya wa Simba amesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar ni kama anamshawishi kocha huyo anayesisitiza soka la kuchezea mpira na pasi.

Amekuwa akimtumia zaidi katika kila kikosi cha timu anayoijaribu kimfumo.

Hata hivyo, Ausemms amesema bado anaangalia wachezaji ili kupata wa kikosi cha kwanza.

Chanzo: mwananchi.co.tz