Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Deus Kaseke na Shaban Dihile wamefungiwa na TFF leo

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Mkurugenzi wa mashindano wa shirikisho la soka Tanzania TFF Efram August leo ametangaza kuwa mchezaji wa Singida United Deus Kaseke na mchezaji wa Green Warriors Shaban Dihile wamefungiwa mechi tatu kila mmoja na faini ya Tsh laki 5.



VideoMAGOLI: Yanga vs Majimaji FC Feb 14 2018, Full Time 4-1

Chanzo: millardayo.com