Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Derby ya Soweto, Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates yaahirishwa

7652 KAIZAAA TZW

Wed, 9 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu hizi kubwa kabisa na zenye ushindani nchini Afrika Kusini, Kaizer Chiefs na Orlando Pirates hukutana kwenye mchezo wa Carling Black Label Cup (The charity cup) ikiwa ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya umeahirishwa badala ya kufanyika Julai na sasa kutarajiwa kufanyika mwaka 2019 huku sababu zikielezwa ni ujio wa kombe la Dunia.

Kampuni ya bia ya AB InBev, ambayo ndiyo mmiliki wa kombe la Black Label imesema kuwa kwa sasa inatarajia kuwa sehemu ya udhamini wa michuano ya kombe la Dunia.

Taarifa kamili ilitoka hapo jana siku ya Jumatatu kuwa mchezo wa Carling Black Label Champion Cup uliyopangwa kufanyika mwaka huu hautofanyika ili AB InBev kujihakikisha inajiimarisha na kuendelea kuwa bia namba moja Afrika kwakuingia udhamini na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA kwenye michuano ya kombe la Dunia litakalo fanyika mwezi Juni na Julai.

 

Loading...
Chanzo: bongo5.com