Thu, 24 May 2018
Chanzo: bongo5.com
Mwanamasumbwi, David Carmona amesema kuwa anakwenda kumpiga mpinzani wake, Kal Yafai kwa ‘knockout’ kunako ulingo siku ya Jumapili.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 27, ameshinda mapambano tisa kwa KO kati ya 31 aliyopigana hali inayomfanya kujiamini zaidi kuelekea pambano hilo la ubingwa wa Dunia mkanda wa WBA uzito wa super-flyweight utakao fanyika majira ya asubuhi siku ya Jumapili uwanja wa Mart Arena, Fresno.
Loading...
Chanzo: bongo5.com