Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cristiano Ronaldo awashtua mashabiki wa Real Madrid 

8584 Cristiano Ronaldo TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

/>

Ronaldo mwenye umri wa miaka 33, huwenda akaondoka Bernabeu msimu huu baada ya kuisaidia Real kutwaa taji la klabu bingwa barani Ulaya kwa ushindi wa jumla ya mabao 3 – 1 dhidi ya Liverpool huko Kiev.

Ronaldo helped Real Madrid to a third straight Champions League triumph earlier this month

Kupitia mahojiano yake na chombo cha habari cha beIN Sports, Ronaldo amesikika akisema kuwa anajiskia furaha ya kuwa Real licha ya siku chache zijazo akitarajia kutoa hatima yake kwa mashabiki.

”Najiskia furaha kuwa Real Madrid, siku chache zijazo nitawapatia majibu mashabiki ambao siku zote wamekuwa upande wangu,’amesema Ronaldo.



Inasadikika kuwa mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or anatishia kuondoka Real ili kupata mkataba mpya utakao mfanya kuingiza kitita kikubwa cha fedha hii ikiwa ni baada ya kuona mpinzani wake, Lionel Messi kuwa mchezaji wa kwanza anaevuta mkwanja mrefu baada ya kuingia dili hilo mwanzoni mwa msimu na timu yake ya Barcelona na kukusanya pauni milioni 35 kwa msimu.

Loading...
Chanzo: bongo5.com