Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coutinho atua kwa dharura katika viwanja vya Liverpool

2232 48B6CD7A00000578 5326623 Image M 57 1517274122119 TZW

Tue, 30 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchezaji wa Barcelona, Philippe Coutinho hatimaye amepata nafasi ya kutembelea klabu yake ya zamani  ya Liverpool hapo jana siku ya Jumatatu akiwa na lengo la kutoa neno la kwaheri kwa wachezaji wenzake ambao walikuwa pamoja ndani ya timu hiyo.



Philippe Coutinho amerejea Liverpool’s Melwood katika eneo la uwanja wa mazoezi Jumatatu mchana

Coutinho,ambaye amejiunga na Barcelona kwa usajili uliyogharimu paundi milioni 145 mwanzoni mwa mwezi huu ambapo amerejea na Adam Lallana.



Kushoto ni Alberto Moreno ambaye pia ameposti picha kupitia Instagram akiwa na Coutinho

Lallana ameposti picha kupitia mtandao wake wa Instagram zinazowaonyesha wawili hao wakiwa wamewasili.





Chanzo: bongo5.com