Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CEO wa Singida United kataja vitu vitatu vinavyoweza kufanya wamfukuze mchezaji

2483 Sssssssssssssssssss.jpeg

Fri, 2 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Club ya Singida United leo imetangaza kumuadhibu mchezaji wake wa kimataifa wa Congo Papy Kambale kwa kosa la utovu wa nidhamu ambao ameuonesha katika michezo kadhaa.

CEO wa Singida United Festo Richard Sanga amezungumza na AyoTV na kueleza walivyofikia maamuzi hayo na amefunguka kuwa kwa sasa, watakaa kikao February 5 na kuamua hatma ya Papy Kambale ambaye wamemsimamisha.

Manara baada ya Yanga kupata penati “Baadhi ya maamuzi ni kichefuchefu” https://youtu.be/PwTlORaCnwU

Chanzo: millardayo.com