Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CAFCCUPREVIEW: Tazama Magoli yote US Gendarmerie vs Simba (+Video)

Video Archive
Mon, 21 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jioni ya Jumapili Februari 20, Wawakilishi wa Tanzania Simba SC, walikuwa ugenini kule Niger kupambana na US Gendarmerie mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya goli 1-1 na kuwafanya Simba kukwea mpaka kileleni katika msimamo wa Kundi D.

Tazama hapa magoli yote;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live