Shirikisho la soka barani Afrika CAF usiku wa Alhamisi ya January 5 2018 jijini Accra Ghana limetangaza mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2017, Mohamed Salah wa Misri anayeichezea Liverpool ya England ndio ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo.
Salah amewashinda staa wa Gabon anayecheza Borussia Dortmund Pierre Emerick Aubameyang na staa mwenzake wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane.
List ya washindi wengine waliyoshinda tuzo za CAF 2017
Staa wa timu ya taifa ya Misri anayecheza soka katika club ya Liverpool ya England Mohamed Salah amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora Afrika 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/GxUcN35Xro
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Asisat Oshoala wa Nigeria amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa upande wa wanawake #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/F21xJKmrja
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Timu ya taifa ya Misri imefanikiwa kupata tuzo ya timu bora ya taifa ya kiume #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/KS8DGoafJ1
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Patson Daka amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/vXJot19jta
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Kocha wa timu ya taifa ya Misri Hector Cuper ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/r20iAhRI2b
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Club ya Wydad Athletic ndio imeshinda tuzo ya club bora kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/20RBmdU3yZ
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Afrika Kusini ndio wameibuka timu bora ya kike kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/HRnFDZFDHJ
— AyoTV (@AyoTV) January 4, 2018
Simon Msuva amerudi Tanzania leo, alichozungumza kipo hapa