Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF wairuhusu Simba SC kuingiza mashabiki vs AS Vita

8CE5DF13 D9BC 4DC6 AF63 B6D04934E768 660x400.jpeg CAF wairuhusu Simba SC kuingiza mashabiki vs AS Vita

Fri, 2 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Shirikisho la soka Afrika CAF kupitia TFF limeruhusu mchezo wa Simba SC dhidi ya AS Vita wa Ligi ya Mabingwa Afrika April 3 2021 kuingizwa mashabiki 10,000.

Awali CAF walizuia Simba SC kucheza na mashabiki katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya El Merreikh ya Sudan uliyochezwa Uwanja wa Mkapa kwa sababu ya kujikinga na Corona.

Kwenye mchezo huo uliochezwa March 16 2021 uwanja wa Mkapa na Simba kupata ushindi wa magoli 3-0, Simba waliruhusiwa kuingiza watu 200.

Chanzo: millardayo.com