Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boohle, Whozu, Young Lunya na Professor Jay kuinogesha Kidimbwi Beach

LIVE WAZIRI WA FEDHA DR MWIGULU NCHEMBA ANAZUNGUMZA KUHUSU TOZO NA MAKATO KATIKA MIAMALA MUDA HUU.07 Boohle, Whozu, Young Lunya na Professor Jay kuinogesha Kidimbwi Beach

Sun, 19 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Good news ni kwamba ikiwa leo ni kilele cha wiki ya Simba SC yaani Simba DAY baada kumaliza  shamra shamra uwanjani sasa shangwe zitahamia Kidimbwi Beach ambapo wakali kutokea Bongo Flevani, Whozu, Young Lunya, Professor Jay pamoja na msanii wa kike kutokea Afrika Kusini Boohle watawanogesha mashabiki wakaofika mahali hapo.

Chanzo: millardayo.com