Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bingwa wa Dunia wa kuendesha Baiskeli kupata Mlima Kilimanjaro

Bingwa Wa Dunia Wa Kuendesha Baiskeli Kupata Mlima Kilimanjaro.jpeg Bingwa wa Dunia wa kuendesha Baiskeli kupata Mlima Kilimanjaro

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bingwa wa kuendesha baiskeli Duniani mara 5 mfululizo kutoka Poland Mike “Leszek” Mikulski ambaye yuko katika maandalizi kabambe ya kuweka rekodi ya Dunia ya Guiness kwa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa baiskeli akitumia saa chache zaidi kuliko mwanadamu yeyote, amekutana na viongozi wa Wizara ya Utalii nchini katika kuona namna tukio hilo linavyoweza kuileta dunia hapa Tanzania.

Bingwa wa kuendesha baiskeli Duniani mara 5 mfululizo kutoka Poland Mike “Leszek” Mikulski ambaye yuko katika maandalizi kabambe ya kuweka rekodi ya Dunia ya Guiness kwa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa baiskeli akitumia saa chache zaidi kuliko mwanadamu yeyote, amekutana na viongozi wa Wizara ya Utalii nchini katika kuona namna tukio hilo linavyoweza kuileta dunia hapa Tanzania. Inakadiriwa zaidi ya watu 200, wakiwemo wanahabari wa kimataifa na majaji kutoka Kamati ya Dunia ya Guiness, watafuatana naye kuja nchini kushuhudia na kuithibitisha rekodi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live