Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bashungwa aagiza mashabiki wapewe tiketi upya

YANGA SC WEB Bashungwa aagiza mashabiki wapewe tiketi upya

Tue, 11 May 2021 Chanzo: eatv.tv

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa, amezitaka mamlaka za serikali zinazohusika na masuala ya tiketi kuhakikisha zinawapatia tiketi upya mashabiki takribani 43,000 waliokuwa wamekata tiketi.

Submitted by Elbogast on Jumanne , 11th Mei , 2021 Mashabiki wa Simba na Yanga

Aidha ameagiza mamlaka za soka ikiwemo Bodi ya Ligi na TFF, kupanga upya tarehe ya mechi ya Simba SC vs Yanga.  

Soma taarifa kamili ya Wizara hapo chini



Chanzo: eatv.tv