Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona watawala kikosi bora cha wiki, Man United, Chelsea na Bayern majanga matupu

4840 Capture 45 TZW

Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza kikosi bora cha wiki hii (Machi 13-14, 2018) kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya ambapo klabu mbili kutoka Uingereza za Chelsea na Manchester United zimefanikiwa kutoa mchezaji mmoja mmoja huku Bayern wakiambulia patupu.

Majina ya wachezaji kwenye kikosi cha wiki

 

Kwenye kikosi hicho Klabu ya Barcelona ndio klabu iliyotoa wachezaji wengi (4) ikifuatiwa na Roma wachezaji watatu na Bestikas mchezaji mmoja.

Kwenye kikosi hicho ambacho wanaangalia mchango wa mchezaji mmoja mmoja kwenye nafasi yake klabu ya Bayern haijafanikiwa kuingiza mchezaji hata mmoja ingawaje jana Machi 14, 2018 wameichanga Beskitas goli 3-1 .

 

Chanzo: bongo5.com