Rais wa TFF katikati kwenye picha, Wallace Karia." /> Rais wa TFF katikati kwenye picha, Wallace Karia."/> Rais wa TFF katikati kwenye picha, Wallace Karia."/>

Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balaa lingine tena, Simba SC uso kwa uso na Yanga SC michuano ya Kagame Cup

Tue, 5 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

height="400" class="wp-caption-text">Rais wa TFF katikati kwenye picha, Wallace Karia.

Baada ya kukutana kwenye michezo ya ligi kuu na Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2018, Wekundu wa Msimbazi Simba wamepangwa kukutana tena uwanja hivi karibuni.

Timu hizo zimepangwa kundi C ambapo zimeungana na klabu nyingine za St. George kutoka Ethiopia na Dakadaha Somalia.

Makundi hayo ya michuano ya Kagame Cup yametangazwa leo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na makundi mengine ni kama ifuatavyo hapa chini.

Bingwa wa michuano hiyo atapata Dola $30,000 sawa tsh. milioni 68.4 na Mshindi wa pili Dola $20,000 ambazo ni sawa na milioni 45 huku mshindi wa tatu akiambulia Dola $10,000 sawa na milioni 22 za kitanzania.

Michuano ya CECAFA Kagame Cup kwa mwaka huu yanafanyika nchini Tanzania na yatarushwa mubashara na Azam TV.

Loading...
Chanzo: bongo5.com