Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Yanga SC wamfuta kazi kocha

C11C9A96 10F3 4D7B 94F5 5D6E30E3C70F 660x400.jpeg BREAKING: Yanga SC wamfuta kazi kocha

Mon, 27 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Club ya Yanga SC imemfuta kazi kocha wake mkuu raia wa Ubelgiji Luc Eymael kwa madai ya kutoa kauli za kibaguzi na zisizofaa.

Yanga imeomba radhi wananchi wote na viongozi wa kitaifa, Yanga imeahidi kocha huyo kuhakikisha ina muondoa nchini haraka iwezekanavyo.

Hata hivyo Luc Eymael na Yanga chini ya usimamizi wa wadhamini wao GSM waliingia mkataba miezi 18 na kocha huyo mwishoni mwa mwaka 2019.

Chanzo: millardayo.com